Hapa ni mahali ambapo wanaokwenda au kurudi Saadani National park kwa kupitia njia ya Pangani hupita. Ni kivuko cha mto Pangani.
Kivuko chenyewe kikiwa upande wa pili wa mto Pangani kikipakia abira na magari
Shukran ya picha kaw Mdau Rajab wa Wildness Safaris Tanzania
No comments:
Post a Comment