Monday, March 19, 2018

Ziwa DULUTI, Arusha

Picha juu inajieleza vyema. Huo ni umbali tokea mnara wa saa wa Arusha mpaka lilipo Ziwa Duluti nje kidogo ya jiji la Arusha njia ya kwenda Moshi.

Friday, March 16, 2018

Pori kwa Pori ndani ya Serengeti

Tembea Tanzania Serenget

Serengeti National Park Tanzania

Serengeti National Park Tanzania
 Shukran ya picha kwa mdau Bony wa Arusha

Wednesday, February 28, 2018

WAG HILL Spa & Lodge, Mwanza

WAG Hill Lodge & Spa

WAG Hill Lodge & Spa

Wag Hill Lodge and Spa, situated on the southern shores of Lake Victoria, is about a 30-minute drive from the town of Mwanza. Gently rolling, lush green hills and breathtaking granite rock structures that appear to defy gravity surround this region of the Lake, known for its scenic beauty. Wag Hill is a boutique eco-friendly Lodge and after recent renovations in 2017, is now able to welcome guests. The Lodge has a warm friendly and inviting atmosphere and is a perfect way to complete a safari.

Thursday, February 22, 2018

KARIBU / KILIFAIR June 1-3, 2018; Moshi, Kilimanjaro

KARIBU/KILIFAIR 2018

Karibu Fair (TATO) and KILIFAIR, both well-known tourism fairs, have recently joined into ONE, which is becoming by far the largest and most important Tourism Trade Fair in East Africa. The newly formed "KARIBU / KILIFAIR" will host 350+ exhibitors from East and central Africa, 300+ international hosted & semi-hosted buyers, as well as approx. 4000 trade visitors during the 3 days of the fair fromJune 1-3, 2018. The fair will annually alternate between Moshi/Kilimanjaro (2018) and Arusha (2019).

Wednesday, November 8, 2017

Ngorongoro Crater hivi karibuni.


Picha zote kwa hisani ya Mdau Bonny wa Jimmex Cars Arusha

Monday, October 9, 2017

Machweo Selous Game Reserve - Throw back ya 2009

Selous Game Reserve Tanzania
Picha hizi nilizipiga mwezi Oktoba mwaka 2009, takribani miaka nane iliyopita. Nilizipiga nikiwa nimesimama pembezoni mwa mto Rufiji, kwenye moja ya campsite iliyopo nje ya pori la akiba la Selous kwenye kijiji cha Mloka. 

Selous Game Reserve Tanzania