Hawa jamaa walikuwa busy kula maua ambayo yalikuwa yameota pembezoni mwa moja ya mabwawa ya maji yaliyopo ndani ya hifadhi ya Tarangire.
Waliniduwaza kwa jinsi walivyukuwa wanachagua maua mazuri na makubwa. Ilitulazimu tusimame kwa dakika kadhaa kuwaangalia na kuona jinsi walivyokuwa wanaishambulia bustani hii...
No comments:
Post a Comment