Hapa walikuwa wame-specialize kula maua. Hawakuwa wanagusa kitu kingine zaidi ya maua yaliyoota eneo hili.
Huyo mdogo nae alikuwa anashuka chini, ananyakua ua na kisha kurudi mgongoni kwa mamae. Wadau walinitonya kuwa mkao huo wa mwana nyani ni ishara ya kwamba amekua na yu karibu kuingia mtaani na kuanza kuganga maisha kivyake vyake. Anapokuwa mdogo hukaa chini ya tumbo muda mwingi
No comments:
Post a Comment