Uwepo wa bwawa hili juu ya milima ya huko upareni kunafanya safari ya kulifikia kuwa ni adventure ya namna yake.
Mdau akifika huku ni rahisi kupitiliza na kusahau mambo mengi na kujikuta akizama kwenye mapumziko mazito ya mwili na akili. Ni moja ya sehemu mwanana kupumzisha akili utembeleapo maeneo ya Same - Mbaga
No comments:
Post a Comment