Tuesday, October 26, 2010

Taswira maridhawa Lake Manyara NP

ni eneo la wazi lililopo ndani ya hifadhi ya Taifa ya Manyara pembezoni mwa ziwa Manyara.

Fahamu ya kwamba sehemu kubwa ya hifadhi ya Taifa ya Manyara ni msitu. Hii ni sehemu ambayo ni ya wazi na muonekano wake ni kama jangwa. Ni eneo ambalo mgeni akienda hatoki patupu, lazima ataambulia kitu cha kufurahisha macho na kusuuza roho yake.

No comments:

Post a Comment