Monday, July 26, 2010

Ziwa Longil, Arusha NP

Ni Moja ya maziwa yaliyopo ndani ya hifadhi ya Taifa ya Arusha. Kwa bahati mbaya ziwa hili halifikiki kwa ukaribu zaidi kwani hakuna barabara inayoelekea karibu na ziwa hili. Unakuwa unaliangalia ukiwa toka barabarani.




Kibao ambacho kipo pembezoni mwa barabara kikitoa onyo kwa wageni kutokushuka toka ktk magari yao kwa lengo la kulisogelea ziwa la Longil.

1 comment:

  1. kwanini hapafikiki? kuna sababu za kiusalama au kimazingira (environmental)?

    ReplyDelete