Tuesday, July 27, 2010

Mlima Meru uligoma kabisa......

Kama ingekuwa ni mchezo wa pool basi ningeweza kuwa sahihi kabisa nikisema ya kwamba siku hii Mlima Meru ulikuwa unanfichia white ball ili nisishinde. Toka tulipoingia ktk hifadhi ya taifa ya Arusha mpaka mida tukiwa tunatoka, mlima Meru ulikuwa umekumbatiwa na mawingu. Picha hii imepigwa Majuzi pembezoni mwa ziwa Momela dogo ndani ya hifadhi ya taifa ya Arusha National park.

No comments:

Post a Comment