Monday, July 26, 2010

Kampeni...

Tukiwa ndani ya Hifadhi ya taifa ya Arusha tulikutana na hii gari ikiwa imepambwa kwa bendera za chama. Njia inayopita ndani ya hifadhi ya Arusha hutumiwa na wasafiri wanaoelekea maeneo ya Ngarenanyuki na kwengineko. ni dhahiri gari hii ilikuwa imetokea huko kumnadi mgombea. tulipishana na magari takriban mawili yote yakiwa yamepambwa na picha za wagombea na bendere za chama. Kila la kheri kwa wale wote waliotangaza nia na kujitosa ktk ulingo wa siasa kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu.

No comments:

Post a Comment