Ukiwa porini halafu ukasikia dereva anazungumzia habari ya Sharubu kuwa harusini basi ujue watakuwa ktk mambo kama unayoyaona hapo juu. Sharubu huendelea na shughuli kwa muda wa takriban siku kadhaa ili jike liweze kufikia hali inayotakikana. na katika kila siku huweza 'kukutana' si chini ya mara 20 hadi 40 kwa siku moja [Picha TTB]
No comments:
Post a Comment