Friday, July 9, 2010

Tetere

mlio wake ukimkuta ktk mazingira ya porini unaleta hisia tofauti. Huyu alikuwa kwenye palm tree iliyokuwa karibu kabisa na hema tulilolala. Alianza kututumbuiza mapema alfajiri.

No comments:

Post a Comment