Friday, July 16, 2010

Small Serengeti - Tarangire NP

Ni eneo ambalo limo ndani ya hifadhi ya taifa ya Tarangire ambalo mandhari yake inashabihiana na ile ya hifadhi ya taifa ya Serengeti aka Shambani. Hata ukienda hifadhi ya taifa ya Arusha utakutana na eneo lijulikanalo kama small Serengeti pia.


No comments:

Post a Comment