Tuesday, July 13, 2010

mama na mwana: Tarangire

Kulikuwa na maua yameota vizuri, jamaa waliyashambulia kwa kwenda mbele. Wanasema ya kwamba ukiona mwana nyani amekaa mgongoni mwa mamae ujue amekua huyo

1 comment:

  1. MKUU LEO NI TAREHE 16, TOKA TAREHE13 HUNIPI USHIRIKIANO, HASA UKICHUKULIA MIMI NATOKA MBALI KWENDA INTERNET CAFE ILI NIINGIE KWENYE HII BLOG BASI LAKINI NAONA HUJANIWEKEA KITU KIPYA SIKU YA TATU LEO. PLZ

    ReplyDelete