Monday, July 26, 2010

Ngongongare Gate; Arusha NP

Ni moja ya mageti ya kuingilia ndani ya hifadhi ya Taifa ya Arusha. Kwa wanaoingia Arusha NP kwa kutokea njia ya Arusha-Moshi wengi huingia ndani ya hifadhi kwa kupitia geti hili.

Hii ni ofisi ambapo mgeni unaenda kulipia kiingilio na kujisajili kabla yakuingia ndani ya hifadhi.


Mlima Meru ukiwa unaonekana kwa chati kwa mbali. Siku hii mlima Meru ulikuwa umefunikwa na mawingu kwa kipindi kirefu.

No comments:

Post a Comment