Friday, July 23, 2010

Mandhari ya geti la Umbwe

Ni Banda ambalo linatumika kwa ajili ya kukamilisha taratibu za kusajili wapandaji sambamba na waongozaji na wabeba mizigo wao.

Ni Ofisi za wahifadhi wa KINAPA (Kilimanjaro National Park Authority)

Mzani unaotumika kuhakikisha kuwa porter habebeshwi mzigo mzito ambao ni hatari kwa afya na usalama wake wakati wa kupanda mlima. Mgeni ukiwa na mizigo mizito na ikakubidi upande nayo, itakulazimu ukodi ma-chalii kadhaa kulingana na viwango vya uzito vilivyowekwa. Ushauri wa bure ni kwamba unapoenda kupanda mlima jitahidi uwe na vitu muhimu unavyohitaji kwa safari ambavyo uzito wake sio mkubwa.



Justify FullNjia unayoiona ikelekea juu ndio mwanzo wa Umbwe route yenyewe.

No comments:

Post a Comment