
Jana mchana nimetinga ndani ya A town. Japo safari hii imekaa kifamilia zaidi lakini shaka ondoa mdau, Natafuta wasaha nijongee japo katika ya moja ya maeneo ya pori yalio karibu na A town. Stay tuned.

Kilima kinachoonekana kwa mbali ni maeneo ya Moshono wakati Silos zinazoonekana katika picha ya kwanza ni mitaa ya Unga Limited.
No comments:
Post a Comment