Thursday, July 8, 2010

Lunch box yako unajipimia mwenyewe....

Unapewa fursa ya kusogea kwenye buffet na kuanza kuchukua kile ukipendacho kwa kiasi utakacho na kukiweka ktk lunch box. Ni utaratibu ambao ulinivutia hapo Maramboi camp. Picha juu ni lunch box yangu ikiwa ktk hatua za awali kabisa...

baadhi ya options zilizokuwepo siku hii.

Zoezi likielekea tamati.

No comments:

Post a Comment