Thursday, July 8, 2010

"Gololi" za tembo dume

huwa zipo ndani ya mwili wake na sio nje ya mwili kama zilivyo kwa mamalia wengine (akiwemo mwanadamu). Hali hii ipo pia kwa Nyangumi dume. Mamalia wengine wote "gololi" za madume zinaning'inia nje ya mwili.

1 comment: