Thursday, July 29, 2010

Lokie Swamp: Arusha National park

Swamp hii ipo mkabala na ziwa Longil. Hii ipo upande wa Kushoto, Longil lipo upande wa kulia. NI mkusanyiko wa maji ambayo yamepelekea matete kuota na kushamiri ktk eneo hilo.

Hifadhi ya taifa ya Arusha imebarakiwa kwa kuwa na mifumo mingi ya maziwa na mito ambayo inatoa mandhari murua na nzuri kwa wageni wanaoitembelea.

Kibao kilichopo pembezoni mwa barabara kikikuonyesha jina

No comments:

Post a Comment