Monday, July 26, 2010

Arusha ni nusu ya safari toka Cairo kwenda Cape town

Mnara wa Saa uliopo karibu kabisa na Arusha hotel una vielelezo vinavyothibitisha hili. Enzi hizo barabara ya kutoka Arusha kuja Moshi na kwengineko (kuelekea Capetown) ilikuwa ikipita hapa. Siku hizi barabara hii imehamishiwa nje kidogo na hii imebaki kwa matumizi ya misele ya ndani ya mji.

No comments:

Post a Comment