ukiwa ktk geti la kuingia ktk hifadhi ya Tarangire utakutana na mbuyu ambao umejengewa jukwaa linalokuwezesha mgeni kupanda na kufikia sehemu za juu za mti wa mbuyu. Kwa bahati mbaya siku hii tulikuta kibao kilichoeleza ya kwamba jukwaalilikuwa limefungwa na hivyo tukakosa fursa ya kupanda na kuona mambo yalivyo juu ya mbuyu.
No comments:
Post a Comment