Tuesday, June 29, 2010

ujangili

Katika hifadhi zetu, vitendo vya Ujangili vinachukua sura nyingi. Picha juu inaonyesha mambo ambazo majangili walizitumia kupanda juu ya mbuyu na kuchukua asali. kwa kuwa mbuyu huu upo ndani ya hifadhi ya taifa, kitendo hicho ni ujangili na ni kosa kisheria. picha hii ilipigwa majuzi Hifadhi ya taifa ya tarangire wakati tukifanya walking safari ndani ya hifadhi.

No comments:

Post a Comment