Monday, June 28, 2010

Shambani

Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kwa jina jingine hujulikana kama shambani au shamba. Hii ni lugha isiyo rasmi ambayo hutumiwa sana na madereva na wadau wengine ktk sekta ya utalii.

No comments:

Post a Comment