Monday, June 28, 2010

Mlima Meru

Sitakuwa nimekosea nikisema pia Mlima Meru nao umeachia.... Tofauti na mlima Kilimanjaro, Mlima meru huwa unaonekana kirahisi ukiwa maeneo ya Arusha. ukiwa nje ya jiji la Arusha ndio unakuwa unapata fursa ya kuuona vyema. picha hii ilipigwa majuzi eneo la Kisongo, nje kidogo ya jiji la Arusha.

No comments:

Post a Comment