Friday, June 25, 2010

Mnazikumbuka Chai Maharage?...

Unguja bado zipo na ni usafiri unaotumiwa na wenyeji na wageni wanaotembelea visiwani huko kwa mapumziko. Cha msingi ni ujue route uendeyo ili upande gari litakalokufikisha kituo karibu na uendako. Ahsante ya picha kwa mdau JSK aliyekuwa huko visiwani hivi karibuni

No comments:

Post a Comment