Wednesday, June 16, 2010

Maximo akiwa na wadau, Mtemere gate, Selous

Siku hii Marcio Maximo alisimama na kupiga picha na wadau kadhaa waliomuomba kupiga nae picha wakati akitoka nje ya pori la akiba la selous ktk gate la Mtemere. Kutoka kushoto ni Said Kassoro (wakati huo aliakuwa anapiga box Pongo safaris), Marcio Maximo, mdau aliyekuja kupokea wageni wake Mtemere airstrip na mwisho ni mdau toka Coastal aviation (mwenye reflector jacket) ambaye alikuwa stationed Mtemere airstrip wakati huo- Sept 2008.

Hapa Mbrazil Maximo akipiga konoozzz... na wafanyakazi wa Idara ya wanyama pori walioomba kupata nae taswira ya ukumbusho.

Taswira zilipigwa za kumwaga. Hii ilikuwa ni September 2008.

No comments:

Post a Comment