Monday, June 21, 2010

kona za Msambiazi, Korogwe

Japo hazifikii kona za milima ya Kitonga, kona za Msambiazi zinahitaji heshima na nidhamu unapopambana nazo kwani ni moja ya sehemu ya hatari kwa wasafiri waendao mikoa ya kaskazini.

Zipo ndani ya wiliya ya korogwe kati ya Korogwe mjini na Mombo.



No comments:

Post a Comment