Wadau, hapa sio Kiwanja (Ulaya au Marekani). Hili ni bwawa lijulikanalo kama Ranzi (Wengine huliita ziwa Ranzi). Bwawa hili linapatikana ktk milima ya pare ya kusini (same) ktk eneo lijulikanalo kama Tona. Ni sehemu maridhawa sana kwa kupumzikia na kuliwaza akili. Picha toka kwa mdau Elly Kimbwereza wa Tona Lodge.
No comments:
Post a Comment