Wednesday, June 2, 2010

Ziwa Magadi, Ngorongoro crater

Ziwa Magadi ni ziwa linalopatikana ndani ya Hifadhi ya taifa ya Ngorongoro crater. limo ndani kabisa ya crater. Maji ya ziwa hili ni alkaline.

Wanyama wanaoishi ndani ya crater hupiga misele tu pembeni ya ziwa hili kwa maana maji yake hayawafai kwa kukata kiu yao.

Flamingo wanapenda sana kuishi ktk maziwa ambayo ni alkaline. Chakula kikubwa cha flamingo ni aina fulani ya algae ambae hushamiri ktk maziwa yenye maji ambayo ni alkaline. blue-green algae ndio msosi mkuu wa flamingo.

---------------------------

Asante kwa picha maridhawa. Yaani ukifika Ngorongoro unakuwa kama uko kwenye sayari nyingine! Nilifika nikiwa na miaka 30, lakini nilisikitika nilikuwa wapi siku zote.

1 comment:

  1. Asante kwa picha maridhawa. Yaani ukifika Ngorongoro unakuwa kama uko kwenye sayari nyingine! Nilifika nikiwa na miaka 30, lakini nilisikitika nilikuwa wapi siku zote.

    ReplyDelete