Hii ni sehemu kupatia maakuli kwa wageni wanaofikia Dunia Camp iliyopo ndani kabisa ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Wageni wanaopenda kuwa karibu kabisa na wanyama pori na mazingira yao huchagua kukaa ktk hizi camp ili kutimiza azma yao hiyo. Ukikaa ktk camp kama hizi mara nyingi unapata fursa ya kutembelewa na wenyeji wenu na kuonana nao ana kwa ana. Kukaa ktk camp kuna raha zake. Bofya hapa kupata dondoo zaidi za Dunia camp. Ahsante ya picha kwa Mdau SB toka Antelope Safaris
No comments:
Post a Comment