Thursday, June 24, 2010

Bado zipo na zinapiga mzigo...

Hapa jijini kwetu, gari aina ya Toyota Stout ni adimu kuonekana au kama vile hazipo kabisa. Lakini huko mkoani Kilimanjaro gari hizi bado zipo na tena kama hiyo haitoshi, bado zinapiga mzigo ktk maeneo ambayo huweza tegemea kuikuta. Hii tulikutana nayo tukiwa njiani kuelekea gate la Umbwe ndani ya maeneo ya Kibosho.Kuna simulizi zinasema kwamba zamani wazee wa Kichaga walikuwa hawamtoi binti mpaka mume mtarajiwa atoe Toyota Stout. Hivi habari hizi ni za kweli?

No comments:

Post a Comment