Ndani ya hifadhi ya Taifa ya Arusha kuna maziwa kadhaa. Mojawapo ni ziwa momella dogo (Small Momella lake). Hili ni moja wa maziwa ambayo yanafikika kirahisi, ukilinganisha na maziwa mengineyo.
Ziwa Momella Dogo ndani ya Arusha National park. Taswira hizi ziling'amuliwa mwezi Desemba mwaka jana wakati timu ya TembeaTz ilipoizuru hifadhi hiyo tulivu iliyopo nje kidogo (25kms) ya mji wa Arusha.
No comments:
Post a Comment