Monday, May 3, 2010

Yange yange domo njano

Kuna wimbo fulani hivi enzi za utotoni tulikuwa tukiimbishwa ambao ulikuwa unataja jina la hawa ndege. Natumai wadau mtaukumbuka vyema

Hawa ndege wanaitwa yangeyange domo njano, nadhani ukiangalia vizuri picha za juu utaona rangi ya njano ktk midomo yao.
bofya hapa ili uweze kupata dondoo zaidi za hawa domo njano na ndugu zao wengine.

1 comment:

  1. Nyange nyange nipe kucha nyeupe!

    Na ukweli kucha zilikua zinakuja sasa ilikua ni mazingaombwe au kukosa vitamins fulani mwilini! I don't know!

    ReplyDelete