Tuesday, May 4, 2010

Sunset in Selous

Kwa wale wanaopenda na ku-appreciate nature, machweo na mawio ni mambo ambayo huvuta sana hisia zao. Japo Machweo ndio huvuta hisia za wengi zaidi. Picha hizi nilizipiga nikiwa kwenye kaunta ya camp site ijulikanayo kama By the River iliyopo Mloka, nje kidogo ya pori la akiba la selous.

Maji unayoyaona ktk taswira ya juu ni ya mto Rufiji

Mto rufiji ukionekana kwa uzuri. picha zote ni toka ktk maktaba ya TembeaTz

1 comment:

  1. So touching, Thanks Tembea Tanzania for the lovely sunset in the wild photographs

    ReplyDelete