Twiga wakifika sehemu ya kunywa maji (wakiwa zaidi ya mmoja) mara nyingi hunywa maji kwa zamu. Wengine wakiinamisha vichwa kunywa maji wengine hubaki juu kuangalia usalama wao. Ktk mkao huu wa kunywa maji, Twiga wanakuwa ktk hatari kubwa kwa kushambuliwa kirahisi na adui zao kushinda wakiwa wamesimama wima. Huwa wanachukua hatua madhubuti kijulinda. Picha hii ilipigwa ndani ya pori la akiba la Selous.
No comments:
Post a Comment