Thursday, May 20, 2010

Unapafahamu hapa mahali??...

????

3 comments:

  1. Isimani - Iringa hapa.
    Japop sijafika, lakini ulimwengu wa blogu umenifikisha, niliwahi kuona picha za kufanania hizi kwa blogu ya kaka Maggid Mjengwa.

    ReplyDelete
  2. subi umekosea, au umeteleza. hapo ni ISIMILA, majina yanafanana kiasi.

    ReplyDelete
  3. Hapa ni ISIMILA, tulipasoma sana kwenye somo la historia wakati nipo shule ya Msingi. Sina uhakika kama watoto wa siku hizi wanafundishwa mambo haya mashuleni kwao

    ReplyDelete