Mateja wa Lake manyara wakiendelea na shughuli zao ndani ya hifadhi. Hapa tuliwakuta wakiwa busy kula nyasi. Mateja huwa wanakula aina fulani ya nyasi laini.
Wenine walikuwa busy na shughuli za malezi.
Upande wa pili wa njiakulikuwa na wengine ambao naoe walikuwa wanaendelea kupata msosi.
Kila mmoja alikuwa busy na inshu zake. Hawa walikuwa wanachanja mbuga na kuzama porini zaidi
Gangwe mmoja alikuwa amejichimbia juu ya mgunga kwa muda mrefu huku akiwa anaangalia upande mwingine kabisa. Picha zote ni toka ktk maktaba ya TembeaTz
dah, mateja wanashughuli si mchezo.
ReplyDeleteAsante kwa taswira TembeaTz na wadau wote wanaowakilisha picha.
Inapendeza!