Monday, May 3, 2010

Tusaidiane kuuchambua na kuelewa huu mwongozo

Kuna mdau mwenye dondoo juu ya huu mwongozo uliopo ndani ya Arusha National Park?

2 comments:

  1. Mdau,
    mimi nadhani uongozi wa hiyo mbuga wameweka huo utaratibu ili kuwafanya wageni wasitembee na kuchoka sana. maana masaa 4 ya kutembea nayo si mchezo.
    Yawezekana kuna sababu nyingine za kiufundi zaidi ambazo wadau watatusaidia kujua zaidi.

    MBK

    ReplyDelete
  2. Hapo sasa tunahasishwa tujiunge na utalii wa ndani lakini matangazo huko mbugani ni Kienglish.Asante sana kwa kuisahau lugha yetu asilia-Kiswahili.

    ReplyDelete