![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjG0l73Wj9FhIJCQTG1Qy0_jBRt71oMjrc98irDrnR4nSVAZ3kEioXVSACW-HvgiTO92dtQumB7GdfpO3YrCdO40pM4cBRH307_zI1ygbZJtiiyZwiEZtj0U4fYWY1xKXK4W6tZrYJgbaEm/s400/01+Antelope+Safaris.JPG)
Licha ya kwamba Wa juu (chui) ndio amezoeleka kuoneka akiwa juu ya miti, Binamu yake wa juu nae pia wamo ktk kukwea miti sometimes. Japo yeye hupanda ili miti ambayo haina changamoto sana wakati wa kupanda, tofauti na wa juu. Picha hizi ni wa juu aliyekutwa na mdau SB wa
Antelope Safaris hivi karibuni mitaa ya Seronera ndani ya hifadhi taifa ya Serengeti.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj312M2UtNRDmserrljkma7tJiURllKb68_-cYeipn2jhT226zuJtB3JAITjPNbbPwZArPs8rqm3Azdh8LiPncKCsLgRaOjceHRdvOwmhJxtTwJkeq-DNx_8IWbCaNL0MRLf-DVKYb06unI/s400/02+Antelope+Safaris.JPG)
Jichekie mwenye makanyagio ya Sharubu huyu. Jiulize mpiga picha alikuwa wapi hapa!
Hii picha ya Pili nimeipenda. Ina ubunifu ndani yake. Pongezi kwa mdau
ReplyDeleteHUYU JAMAA ALIKUWA NDNI YA GARI AU? MAANA INATISHA HIYO PICHA YA PILI.
ReplyDeleteduu,watu wanamoyo,mimi ninavyowaogopa hao sharubu,kukaa karibu nao hivyo,hongera zake
ReplyDelete