Toka niliposhuhudia songombingo moja ya hawa jamaa pale ktk gate la ngorongoro, mpaka sasa huwa napenda kuwaita mateja wa porini.
Ukifika gate la ngorongoro usidhubutu kuacha kioo cha dirisha au roof ya gari lako wazi. watafanya kila namna waingie ndani na kuekua vilivyomo na kuchukua vile vitakavyowavuta kama wafanyavyo mateja na vibaka wengine ktk miji yetu. Hawa wameshajua kuwa wageni wageni wanaioingia Ngorongoro huwa wanakuja na lunch box. Wao wanaziwinda lunch box kwa nguvu zao zote. Nadhani wameshazoea kula Junk food.
Picha juu ni Ngedere akiwa na mwanae Ruaha NP. Position ambayo mtoto hukaa huelezea umri wa mtoto. Akiwa mdogo sana, huwa anabebewa tumboni. Akikua kiasi, hubadili mkao na kukaa mgongoni mwa mamaye muda mwingi.

No comments:
Post a Comment