Sharubu hutumia muda mwingi wa mchana kupumzika au kufanya shjughuli za kijamii. Sharubu huwinda jua likizama. Mara kadhaa huwinda mchana, lakini huo sio muda wake rasmi wa kufanya shughuli za kiofisi.
Tulimkuta huyu sharubu dume (teenager) akiwa amepumzika eneo lijulikanalo kama Moru Koppies ndani ya hifadhi ya taifa ya Serengeti national Park.
Ukisikia full kujiachia ndio hiyo
ReplyDelete