Thursday, May 20, 2010

Hapo kuna dume na jike.....

Kwa kuangalia rangi zao unaweza kutambua jinsia ya mbuni. Bofya hapa kwenda kwenye mtundiko utakaokukumbusha jinsi ya kufanya utambuzi huu. Picha-Ngorongoro crater.

No comments:

Post a Comment