Thursday, August 20, 2009

Inawezekana unajua.....

Lakini si hasara kufahamu zaidi

Moja ya vitu vitakavyokuwezesha kutofautisha kati ya mbuni jike na dume ni rangi ya manyoya yao. Ktk picha juu, Mbuni wa upande wako wa kushoto ni Jike (rangi ya kijivu) na upande wako wa kulia ni mbuni dume (mweusi)
Ngorongoro Crater

1 comment:

  1. kwa kuongezea, mbuni dume ni mzuri kuliko mbuni jike. pia dume ana umbo dogo kuliko jike. hii ni tofauti na tulivyozoea kwa binadamu.

    ReplyDelete