Siku kadhaa niliwahi weka mtundiko unaohusu mambo mbalimbali yanayohusu kiota cha ndege ajulikanae kama fundi chuma. Leo nina furaha ya kuwapatia wadau wangu taswira ya ndege mwenyewe husika, Fundi chuma. Bofya hapa kujikumbusha kuhusu mtundiko huo wa awali. Ahsante sana mdau Elly toka Moshi kwa taswira ya fundi chuma.
No comments:
Post a Comment