Monday, May 24, 2010

Mandhari maridhawa; Serengeti NP





Sina cha kusema zaidi ya kukuachia u-enjoy hiyo mandhari maridhawa ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

1 comment:

  1. Ahsante sana kwa picha murua, hivi ina maana Serengeti yote ipo hivi au kuna sehemu kuna miti kiasi?

    Shukran sana Mdau kwa kutuletea picha ambazo zinatuonyesha mandhari ilivyo ndani ya hifadhi zetu.

    mdau ST

    ReplyDelete