Saturday, April 3, 2010

UDASA club ya SUA.... SUASA club

SUA staff Assembly (SUASA) club ipo ndani ya compound ya SAU. Ni Sehemu murua yenye mandhari tulivu kweli kweli. Mara kadhaa nimejikuta nikipachagua SUASA kama sehemu yangu ya kupata kifungua kinywa au lunch niwapo safari kupitia Mororgoro.

Wana Garden nzuri ambayo inatoa fursa kwa wenye familia kuleta watoto kwa kuwa na uhakika wa sehemu ya wao kucheza. Pia wana baadhi yavifaa kwa ajili ya watoto kuchezea. Menu makini na bei ni ya kizalendo.


SUASA club ndio kama ilivyo UDASA club kwa Mlimani

1 comment: