Saturday, April 3, 2010

Picha mseto: Ruaha National Park

Masikio wakijivinjari kwa raha zao ndani ya Ruaha NP, Iringa.

Sharubu jike.

Sharubu dume.

Mimi huwa napenda kuwaita mateja wa porini. usiache kioo cha gari au mlango wazi mahali ambapo wapo karibu halafu ukajisahau. Watakuja karibu kuomba kufanya kolabo na wewe ktk lunch box yako. Shughuli yao huwa inaonekana pale gate la Ngorongoro. picha juu ni Ngedere akiwa na mwanae ndani ya Ruaha NP.

Iko Shida! Nao wapo ndani ya nyumba.

warefu na wafupi: mwendo ni ule ule.....

Ruaha NP ipo takriban Km 120 toka Iringa mjini.

No comments:

Post a Comment