Saturday, April 24, 2010

Mama na Mwana; Ngorongoro crater

Hapo kila mmoja jicho lipo kwa mtoto wake. Nyumbu jike ndie mlezi wa mtoto baada ya kuzaliwa. Mama na mwana hutambuana kwa harufu. Picha TTB

No comments:

Post a Comment