Tuesday, April 6, 2010

Dudumizi

Tulimfuma huyu ndege ndani ya Arusha National Park pembezoni mwa ziwa la Lake Momella kubwa.
Picha zote ni Arusha national Park. Kuna mdau kishamwaga dondoo kadhaa za huyu ndege ktk wiki tena kwa kimatumbi.

http://sw.wikipedia.org/wiki/Dudumizi

No comments:

Post a Comment