Captain wa Balloon akipasha moto hewa iliyomo ndani ya Balloon ili liweze kuanza safari yake juu ya Serengeti Plains.
hapa ni baada ya kuruka, Magari uyaonayo hapo yanakuwa yanalifuata balloon muda wote wa safari yenu ili kuhakikisha usalama wakati wa safari na pia kuwabeba abiria baada ya safari.
Hawa jamaa wanaanda sehemu ya kuja kupata Bush breakfast baada ya Balloon Safari. Breakfast inakuwa served chini ya mti mkubwa uliopo upande wa pili wa hiyo barabara. hapo ndipo Champagne pia hufunguliwa kusherehekea safari salama ya balloon.
Taswira nzuri sana na maelezo yenye kuhamasisha. Keep it up mazeiya, ila hii safari hilo baluni likikorofisha katikati ya pori inakuwaje sasa, kuna vifaa vyovyote vya emergence ?
ReplyDeletewazee wa baloon wanajiandaa,kuna magari huwa yanawafuatilia incase of emergence,mimi nilibahatika kupanda ni experience nzuri ajabu.
ReplyDelete